Kanuni za Ligi Kuu NBC 2024/2025 – Sheria za mpira wa miguu

Utangulizi Kanuni hizi za Ligi Kuu ni mwongozo wa uendeshaji na uchezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Klabu zinazoshiriki katika Ligi Kuu zinawajibika na kulazimika kufuata, kuheshimu, na kutii kanuni hizi. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) huzifanyia marekebisho kanuni hizi ili kuziboresha na kuendana na wakati, hivyo kuunda mazingira bora zaidi ya ushindani. … Continue reading Kanuni za Ligi Kuu NBC 2024/2025 – Sheria za mpira wa miguu