Tag: Shule ya Sekondari Mpanda Girls

  • Mpanda Girls Secondary School

    Shule ya Sekondari ya Wasichana Mpanda ipo umbali wa Kilometa 8 Magharibi,kutoka stendi kuu ya mabasi ya Mji wa Mpanda.Usafiri kutoka mjini kuja shuleni unapatikana.Kutoka kituo cha mabasi Mizengo Pinda, Nauli ni Shilingi 3000/= kwa pikipiki na Shilingi 3000/= kwa bajaji.

    Mawasiliano ya Shule

    Mkuu wa Shule 0757533898
    Makamu Mkuu wa Shule 0755247496
    Matron 0783451863
    Shule ya Sekondari ya Wasichan Mpanda
    S.L.P 228,
    MPANDA- KATAVI.
    Tarehe 16.04.2024

    • Namba ya Usajili wa Shule: P0228
    • Aina ya Shule: Sekondari ya Wasichana
    • Mkoa: Katavi
    • Wilaya: Mpanda

    Michepuo (Combinations) ya Shule Hii:

    • PCM, EGM, PCB, CBG, HGE, HGK, HGL, HKL ECAc, BuAcM, EBuAc

    Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2024/2025

    Kuona orodha ya wanafunzi waliopangwa kwenda shule hii, tafadhali: Bofya Hapa

    Kidato cha Tano Joining Instructions 2025

    Fomu za kujiunga zinapatikana kwa urahisi. Hakikisha unafuata maelekezo yaliyotolewa.

    Joining Instructions

    Kupata fomu ya kujiunga kupitia WhatsApp, jiunge na link hii.

    NECTA: Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025

    Ili kuona matokeo ya Kidato cha Sita – ACSEE 2024: Pakua Matokeo

    Kupata matokeo kupitia WhatsApp, jiunge na link hii.