Vigezo vya Kupata Mkopo Ngazi ya Diploma 2025/2026 kutoka HESLB

Mkopo Ngazi ya Diploma Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inatoa mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo katika ngazi ya diploma. Kwa mwaka wa masomo 2025/2026, vigezo vifuatavyo ni muhimu kwa waombaji: VIGEZO VYA KUPATA MKOPO WA DARAJA LA DIPLOMA 2025/2026 KUTOKA HESLB Ufafanuzi wa kina wa vigezo vya msingi: Uraia, … Continue reading Vigezo vya Kupata Mkopo Ngazi ya Diploma 2025/2026 kutoka HESLB