FADLU DAVIDS TRANSFER UPDATE🔴
PATA HABARI CHAP
- Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amekataa ofa kutoka Orlando Pirates kuelekea msimu ujao
- Fadlu amekataa kurudi tena Orlando Pirates na anafurahia kazi anayoifanya Simba SC
- Orlando Pirates na Raja AC zote zimekataliwa na Fadlu Davids.