Form six jkt selection

Tarehe ya kuripoti jkt 2025

Advertisements
PATA HABARI CHAP JIUNGE NASI WHATSAPP

Kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2024, vijana waliohitimu Kidato cha Sita walitakiwa kuripoti kwenye makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuanzia tarehe 1 Juni hadi 7 Juni 2024.

Hata hivyo, kwa mwaka 2025, taarifa rasmi kuhusu tarehe za kuripoti JKT limewapangia makambi watakayo kwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 28 Mei 2025. Ili kupata taarifa sahihi na za kisasa, inashauriwa kutembelea tovuti rasmi ya JKT: (jkt.go.tz) au kuwasiliana na ofisi za JKT katika mkoa wako.

Advertisements
JE UNA MASWALI? JIUNGE NASI WHATSAPP

Kwa ujumla, vijana waliohitimu Kidato cha Sita wanatarajiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT kuanzia mwishoni mwa Mei hadi mapema Juni kila mwaka. Hata hivyo, tarehe maalum zinaweza kubadilika, hivyo ni muhimu kufuatilia matangazo rasmi kutoka kwa mamlaka husika.

Advertisements
Join Us on WhatsApp JIUNGE NASI WHATSAPP