i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii.Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi.Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;
viii.Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule;
Qualifications
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Kiingereza au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Kiingereza pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;
Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule
Qualifications
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Baiolojia kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulka na Serikali.
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Elimu ya Msingi (Diploma in Primary Education) au Stashahada ya Elimu ya Sekondari (Diploma in Secondary Education/Diploma in Education) yenye masomo ya kufundishia ya Sanaa (Art Subjects) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi. Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;
viii. Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule
Qualifications
Β· Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Baiolojia au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Baiolojia pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii.Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi.Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
viii.Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
Qualifications
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Hisabati kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
iii.Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
vi.Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; na
viii.Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule
Qualifications
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Hisabati au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Hisabati pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
Muhimbili University of Health and Allied Sciences MUHAS
Mbeya University of Science and Technology MUST
College of Business Education CBE
Ardhi University AU
The Open University of Tanzania OUT
Institute of Accountancy Arusha IAA
Ardhi Institute and UCLAS
State University of Zanzibar SUZA
Zanzibar Urban
Institute of Development Management
Sokoine University of Agriculture SUA
Nelson Mandela African Institute of Science and Technology NMβAIST
Katavi University of Agriculture KUA
Technical College and MIST
Moshi Co-operative University MoCU
Moshi university college of cooperative and business studies(MUCCOBS)
IIT Madras Zanzibar
Siku hizi, magroup ya Whatsapp yamekuwa sehemu muhimu katika maisha ya wanachuo nchini Tanzania. Hapa kuna baadhi ya manufaa na changamoto zinazohusiana na magroup haya:
Manufaa:
Mawasiliano ya Haraka: Wanachuo wanaweza kuwasiliana kwa urahisi na wenzao, walimu, na wahadhiri. Hii inasaidia katika kushiriki taarifa muhimu, kama ratiba za masomo na matangazo ya chuo.
Kusaidiana: Katika magroup haya, wanachuo wanaweza kusaidiana na maswali ya masomo, kujadili mada mbalimbali, na kupata msaada wa kiufundi.
Mikakati ya Matukio: Ni rahisi kupanga matukio kama semina, vikao vya kujifunza, na shughuli za kijamii kupitia magroup haya.
Ushirikiano wa Kijamii: Wanachuo wanapata fursa ya kujenga urafiki na mtandao wa kitaaluma, unaoweza kuwa na manufaa baadaye katika maisha yao ya kitaaluma.
Changamoto:
Kukosa Umuhimu: Wakati mwingine, mawasiliano yanaweza kuwa yasiyo rasmi na yasiyohusiana na masomo, ikifanikisha kupoteza mwelekeo wa kundi.
Makaribisho Mengi: Kila mtu anapojaribu kushiriki mawazo yake, inaweza kuwa na mfuatano wa jumbe nyingi, na kusababisha machafuko.
Mwanachuo Kutojithibitisha: Kwa kuwa na uwezo wa kujificha nyuma ya skrini, baadhi ya wanachuo wanaweza kuamua kutovuta umuhimu wa kujihusisha kwa ukamilifu na kundi.
Kuharibu Muda: Wakati mwingine, mazungumzo yasiyo rasmi yanaweza kuchukua muda mwingi ambao ungeweza kutumika kwa masomo au kazi nyingine muhimu.
Hitimisho:
Hivyo basi, ni muhimu kwa wanachuo kutumia magroup haya kwa busara, huku wakichangia maarifa na kujifunza kwa pamoja. Tunapaswa kuhakikisha kuwa tunafanya mazingira ya kujifunza na kusaidiana ambayo yanachangia katika maendeleo ya kitaaluma na kijamii. Je, una maoni au uzoefu wowote kuhusu magroup ya Whatsapp ya vyuo? Shiriki nasi! ππ
Angalia Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI β Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma (PSRS)). Kuitwa Kazini (Placement) UTUMISHI β Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma (PSRS) 2025.
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara huru kilichoanzishwa mahsusi kurahisisha mchakato wa ajira katika Utumishi wa Umma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa chini ya Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya 2007, kifungu cha 29(1).
Jukumu kuu la PSRS ni kurahisisha uajiri katika Utumishi wa Umma. Kulingana na Kifungu cha 298 cha Sheria ya Utumishi wa Umma ya 2002, kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya 2007 kifungu cha 29(1), majukumu ya PSRS ni: Kusaka wataalamu mbalimbali wenye ujuzi maalum na kuandaa hifadhidata ya wataalamu hao kwa urahisi wa uajiri; Kusajili wahitimu na wataalamu kwa madhumuni ya marejeo rahisi ya kujaza nafasi wazi; Kutangaza nafasi wazi zinazojitokeza kwenye Utumishi wa Umma; Kuwashirikisha wataalamu stahiki kwa madhumuni ya kufanya usaili; Kushauri waajiri juu ya masuala mbalimbali yanayohusiana na ajira; na Kufanya jambo lingine lolote linaloweza kuelekezwa na Waziri mwenye dhamana ya Utumishi wa Umma.
Chombo hiki kinawaalika watu kazini katika taasisi mbalimbali kama ifuatavyo:
Mei 2025 TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (05-05-2025) TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (03-05-2025)
Ili kujua kama umeitwa kazini na UTUMISHI, tembelea tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Wamechapisha orodha ya majina ya walioitwa, hivyo hakikisha umetembelea na kuthibitisha jina lako katika orodha hiyo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne wenye sifa zifuatazo:
1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
b) Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
c) Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2019 hadi 2024.
d) Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
e) Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I β IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.
f) Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I β III). g) Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
h) Awe na urefu usiopungua futi tano na inchi nane (5β8β) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5β4β) kwa wanawake.
i) Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
j) Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha.
k) Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.
l) Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto/watoto.
m) Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya za aina yoyote.
n) Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.
o) Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.
p) Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.
q) Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye usaili. r) Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
s) Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
t) Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8), Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.
2. Utaratibu wa kutuma Maombi
Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA. Barua hiyo iambatishwe kwenye maombi ikiwa kwenye mfumo wa βpdfβ.
Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE β RECRUITMENT PORTAL) unaopatikana kwenye kiunganishi (link) cha tovuti ya Jeshi la Polisi (https://ajira.tpf.go.tz). Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya posta, barua pepe (email) au kwa mkono hayatapokelewa.