AJIRA 1000 WALIMU DARAJA LA III B – SHULE YA MSINGI

MDAs & LGAs

1000 Positions

Application Period

18/10/2025 – 01/11/2025

Duties and Responsibilities

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za  Maendeleo ya Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa  ushauri nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Elimu ya Msingi (Diploma in Primary Education) au Stashahada ya Elimu ya Sekondari (Diploma in Secondary Education/Diploma in Education) yenye masomo ya kufundishia ya Sanaa (Art Subjects) kutoka  Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali. 

Remuneration

TGTS- C.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *