Sifa za kujiunga na chuo cha TIA Tanzania Institute of Accountancy 2025/2026
Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) inatoa programu mbalimbali za elimu katika ngazi tofauti, ikiwa ni pamoja na Cheti cha Awali (NTA Level 4), Stashahada (Diploma), na Shahada ya Kwanza (Bachelor…