Shule ya Sekondari P0152 Shinyanga
Maelezo: Shule ipo umbali wa kilometa 27 kutoka mjini Shinyanga uelekeo wa barabara iendayo Mwanza kupitia Maganzo. Ukija kwa gari moshi shuka Mjini Shinyanga upande basi/magari madogo yaendayo Maganzo/Mwadui, shuka…
Read more