Kanuni za TFF 2024 results
Zifuatazo ni Kanuni za TFF ligi kuu 2024/2025, zilizoboreshwa: Download pdf ya kanuni za ligi kuu tanzania bara 2024/25
Be part of our next UhakikaNews! subscribe to get notifications.
Zifuatazo ni Kanuni za TFF ligi kuu 2024/2025, zilizoboreshwa: Download pdf ya kanuni za ligi kuu tanzania bara 2024/25
Jedwali la NBC Premier League – Misaada ya Magoli – Tanzania Premier League 2025 top assists table Wachezaji Wanaongoza kwa Asisti au mchango wa magoli NBC 2024/2025. Mchezaji Timu Nafasi…
Utangulizi Kanuni hizi za Ligi Kuu ni mwongozo wa uendeshaji na uchezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Klabu zinazoshiriki katika Ligi Kuu zinawajibika na kulazimika kufuata, kuheshimu, na kutii kanuni…
Leo, Machi 27, 2025, viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), pamoja na klabu za Simba na Yanga, wanakutana katika ofisi za…
Msimamizi wa idara ya Habari wa Klabu ya Azam Fc Thabit Zacharia maarufu kama (@zakazakazi ), amesema wako tayari kusikiliza ofa kwa mchezaji wao Feisal Salum ambaye mkataba wake unatamatika…
➡️Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania , Profesa Palamagamba Kabudi anatarajiwa kukutana na viongozi wa Simba Sports Club na Young Africans kuzungumzia sakata la uamuzi wa Simba…
Utangulizi Mechi kati ya Morocco na Tanzania ni miongoni mwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia. Moja kati ya mechi za kusisimua, inatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wengi kutoka Afrika…
KUTOKA SINGIDA: Hii hapa sehemu ya kuchezea ‘pitch’ ya dimba jipya la Singida BS ambapo leo kutakuwa na mechi maalumu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC. Hili hapa…
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum anaendelea kuwa kinara wa kutoa pasi za mwisho (assists) katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, ambapo ametoa assist 12 hadi sasa
Hosea mchopa amezungumza na kocha wa Tabora United Anicet Kiazayidi Makiadi @kiazmak ambaye yupo kwenye kozi ya refresh Congo baada ya taarifa za uvumi kuwa amevunjiwa mkataba na timu ya…