Join Us on WhatsApp JIUNGE NASI WHATSAPP
Uhakika News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
AI News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
UK News
No Result
View All Result

Audio Diamond platnumz nitafanyaje download mp3 download

by Mr Uhakika
April 1, 2025
in NYIMBO MPYA YA
Reading Time: 3 mins read
A A
Share on FacebookShare on Twitter
Table of contents
  1. Pakua mp3
  2. Nitafanyaje Lyrics
    1. You might also like
    2. Diamond Platnumz Ft Omarion – African Beauty download
    3. Diamond Platnumz – Sijaona download
    4. Share this:
    5. Related
Join Us on WhatsApp KARIBU UJIUNGE NASI WHATSAPP

Pakua mp3

Download

Nitafanyaje Lyrics

[Intro]
Oooooooh oooh
Enheee
Hii ni kwa niaba

[Verse 1]
Siwezi sema kitandani, labda umasikini wangu
Ndo kilionishusha thamani wathaminike wenzangu
Siwezi sema sikujali, labda vizawadi vyangu mimi
Havikufikia ukubwa wanavyotoa wenzangu

You might also like

Diamond Platnumz Ft Omarion – African Beauty download

Diamond Platnumz – Sijaona download

[Pre Chorus]
Kinachoniumiza ridhiki hugawa mola
Ingalikuwa mimi mbona angehomola
Na mbaya kabisa, rafiki wananichora
Kwa hizo posti zake na wenye nguvu la dollar

[Chorus]
Oooh oh mi moyo wangu mama
Unaona uchungu
Mwenzake mi moyo wangu
Anauumiza sana
Sema nitafanya nini
Ndo hivyo nitafanyaje
Ila nitafanya nini
Ndo hivyo nitafanyaje

You might also like

[Verse 2]
Nashikwa kigagaziko kila nikiingia chumbani
Sijui nilalie tandiko ama sakafuni yani
Nacheka tu kwa nje ndani, masikitikoo
Sababu pengo lako honey, bado lipo

[Pre Chorus]
Kinachoniumiza ridhiki hugawa mola
Ingalikuwa mimi mbona angehomola
Na mbaya kabisa, rafiki wananichora
Kwa hizo posti zake na wenye nguvu la dollar

[Chorus]
Oooh oh mi moyo wangu mama
Unaona uchungu
Mwenzake mi moyo wangu
Anauumiza sana

[Bridge]
Oyaaa, DJ DJ hii ngoma iweke repeat
Maana inatupa stimu na wanangu kulilia kijiti
DJ DJ hii ngoma iweke repeat
Asa jitie wazimu kuitoa tuuzime muziki

Kwa maana inatupa (Vibeee)
Eh inatupa (Vibeee)
Wanangu inawapa (Vibeee)
Eh inatupa (Vibeee)
Machizi boti wanapata (Vibeee)
Eh wanapata (Vibeee)
Na bebe zinipata (Vibeee)
Eh zinapata (Vibeee)

Namnem mwanangu kwa upande wa khanga
Nilitamani tengе ila sijajipanga
Namnema mwanangu kwa midabwada mwenzio
Nilitamani maless ila ndo sina salio

Mama yoo mama yoo (Wamеnitenda hawa kausha damu)
Ooh mama yoo mama yoo (Wamenitenda hawa kausha damu)
Ooh mama yooo (Wamenitenda hawa kausha damu)
Mama yoo mama yoo (Wamenitenda hawa kausha damu)

Asaaa waiteeeee eeh
Oya makofi kigogo nipe mawili
Kama hujatumika sana sehemu za siri
Kama sio mloganzila shepu asili
Sa nipe ya kibunge-bunge utitiri (Twenzetu)

Asa good walete, walete hapa kati
Walete hao, walete hapa kati
Walete hasa, walete hapa kati
Walete hao, walete hapa kati

Eeh tunacheza mpaka saa ngapi
Tunacheza (Mpaka asubuhi)
Tunaruka mpaka saa ngapi
Tunacheza (Mpaka asubuhi)

Nepe tena, bado sijaona
Nepe tena, bado sijaona
Nepe tena, bado sijaona
Nepe tena, bado sijaona

Eeeeh (umelewa)
Aah (unayumba)
Eeeeh (umelewa)
Aah (unayumba)
We toss umelewa asa mbona unayumba
Aya kunambi umelewa asa mbona unayumba

Oya wahauni wana namba zao zinaitwa (Arobaini tano)
Wanangu wana mamba zao zinaitwa (Thelasini na mbili)
Masala wana mamba zao zinaitwa (Ishirini na sita)
Oya kuna wengine hawana namba ila chokoza

Kitimtim kitimtim
Kitimtim kitimtim
We mama Dangote
Ni Exelent vyema tiki ama kwa kizungu good

Share this:

  • Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
  • Click to share on X (Opens in new window) X

Related

Tags: Diamond Platnumz
ShareTweetPin
JE UNA MASWALI? JIUNGE NASI WHATSAPP
Previous Post

Audio Diamond platnumz moyo download mp3 download

Next Post

Jifunze jinsi ya kuomba Mkopo wa ZHELB kwa mwaka wa masomo 2025/26

Mr Uhakika

Mr Uhakika

Related Stories

diamond

Diamond Platnumz Ft Omarion – African Beauty download

by Mr Uhakika
June 15, 2025
0

Sikiliza: Diamond Platnumz, maarufu kama Simba, ni msanii wa bongo Flava kutoka Tanzania, anayejulikana kwa nyimbo zake mbunifu, uchezaji, na shughuli za kifalme. Katika wimbo huu, ameungana na...

diamond

Diamond Platnumz – Sijaona download

by Mr Uhakika
June 15, 2025
0

Mwaka 2 iliopita AUDIO: Diamond Platnumz – Sijaona | Pakua mp3 Diamond Platnumz, msanii maarufu wa Tanzania na kiongozi wa WCB Wasafi, Nasibu Abdul Juma Issack, alitoa wimbo...

diamond

Diamond Platnumz – Baila Ft Miri Ben-Ari download

by Mr Uhakika
June 15, 2025
0

Mwanamuziki maarufu wa WCB Wasafi, Boss Diamond Platnumz, ambaye pia anajulikana kama Simba, alitumbuiza mashabiki kwa wimbo mpya uitwao "Baila," ukiwa na ushirikiano na Miri Ben-Ari. Wimbo huu...

diamond

Diamond Platnumz – Nikuone dowload

by Mr Uhakika
June 15, 2025
0

Kusikiliza: Diamond Platnumz, msanii maarufu wa Bongo Fleva, ameachia wimbo mpya uitwao "Nikuone" kutoka katika albamu yake ya "A Boy From Tandale." Pakua hapa: DOWNLOAD MP3 Kuendelea na...

Load More
Next Post
Maombi ya mkopo HESLB OLAMS – Online Loan Application 2025/26 – HESLB online application

Jifunze jinsi ya kuomba Mkopo wa ZHELB kwa mwaka wa masomo 2025/26

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No Result
View All Result
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results

© 2025 Uhakika News