diamond

Diamond Platnumz – Pamela Ft. Young Killer download

Advertisements
PATA HABARI CHAP JIUNGE NASI WHATSAPP

Mwanamuziki maarufu wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ametuletea wimbo mpya uitwao “Pamela.” Wimbo huu unamshirikisha msanii chipukizi wa Hip Hop kutoka Rock City, Young Killer Msodoki.

“Pamela” ni wimbo wa tatu kwenye albamu ya tatu ya Diamond Platnumz, “A Boy from Tandale,” ambayo ilitolewa rasmi mwaka 2018. Albamu hii ina mchanganyiko wa afro-pop na Bongo Flava, ikiwa na athari za muziki kutoka Afrika Magharibi, hasa Nigeria.

Advertisements
JE UNA MASWALI? JIUNGE NASI WHATSAPP

MIZANI YA MANENO

Oh najua maana ya penzi burudani Na ndio maana nakupa kokote Singoji mpaka kitandani Eeeeh yeah! Pamela! (Pamelaa) Oooh! Oh! Oh! (Pamela)

Yeye ni moto kuliko moto (Pamela) Ukimuona utagwaya (Pamela) Zigo lazima ntafire (Pamela) Ooh nakapenda ile mbaya (Pamela)

Kusikiliza “Diamond Platnumz – Pamela Ft. Young Killer”

Advertisements
Join Us on WhatsApp JIUNGE NASI WHATSAPP