- Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amekataa ofa kutoka Orlando Pirates kuelekea msimu ujao
- Fadlu amekataa kurudi tena Orlando Pirates na anafurahia kazi anayoifanya Simba SC
- Orlando Pirates na Raja AC zote zimekataliwa na Fadlu Davids.
Mechi live: Young Africans vs Simba
Kwa habari za hivi punde kuhusu matokeo ya mechi na matukio ya timu hizi, unaweza kutembelea tovuti za ScoreBat na Sofascore, ambazo hutoa matokeo ya moja kwa moja...




