Feisal Salum anaendelea kuwa kinara wa kutoa pasi za mwisho

Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum anaendelea kuwa kinara wa kutoa pasi za mwisho (assists) katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, ambapo ametoa assist 12 hadi sasa

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *