Join Us on WhatsApp JIUNGE NASI WHATSAPP
Uhakika News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
AI News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
UK News
No Result
View All Result

Feisal salum kupewa ruhusa ya kuondoka Azam fc

by Mr Uhakika
March 25, 2025
in Habari
Reading Time: 1 min read
A A
Share on FacebookShare on Twitter
Join Us on WhatsApp KARIBU UJIUNGE NASI WHATSAPP

Msimamizi wa idara ya Habari wa Klabu ya Azam Fc Thabit Zacharia maarufu kama (@zakazakazi ), amesema wako tayari kusikiliza ofa kwa mchezaji wao Feisal Salum ambaye mkataba wake unatamatika 2026.

“Tunatarajia feisal kutoa matokeo kwani tunamlipa pesa nyingi. Hata akiamua kuondoka hayo yatakuwa maamuzi yake, hatumzuii kuondoka. Hatuna mpango wa kumuacha Feisal aondoke lakini kama kuna timu itafikia makubaliano na sisi. hatutasimama katika njia yake hata hivyo, kufikia sasa, hatujapokea ofa yoyote kutoka kwa klabu yoyote.” Thabiti Zacharia Via FAR Sports

You might also like

Top assists Ligi kuu bara 2024/2025

Kanuni za Ligi Kuu NBC 2024/2025 – Sheria za mpira wa miguu

Share this:

  • Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
  • Click to share on X (Opens in new window) X

Related

Tags: Azam FCFeisal Salumligi kuu baranbc ligi kuu bara
ShareTweetPin
JE UNA MASWALI? JIUNGE NASI WHATSAPP
Previous Post

🚨SERIKALI KUINGILIA KATI MECHI YA DABI

Next Post

Mbegu za Mahindi Pioneer

Mr Uhakika

Mr Uhakika

Related Stories

Top assists Ligi kuu bara 2024/2025

Top assists Ligi kuu bara 2024/2025

by Mr Uhakika
April 15, 2025
0

Jedwali la NBC Premier League - Misaada ya Magoli - Tanzania Premier League 2025 top assists table Wachezaji Wanaongoza kwa Asisti au mchango wa magoli NBC 2024/2025. MchezajiTimuNafasiMisaada...

top scorer nbc premier league 2024/25

Kanuni za Ligi Kuu NBC 2024/2025 – Sheria za mpira wa miguu

by Mr Uhakika
May 12, 2025
0

KANUNI ZILIZOBORESHWA Utangulizi Kanuni hizi za Ligi Kuu ni mwongozo wa uendeshaji na uchezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Klabu zinazoshiriki katika Ligi Kuu zinawajibika na kulazimika kufuata,...

Suruhisho la mechi ya yanga Vs Simba leo

Suruhisho la mechi ya yanga Vs Simba leo

by Mr Uhakika
March 27, 2025
0

Leo, Machi 27, 2025, viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), pamoja na klabu za Simba na Yanga, wanakutana katika...

Jinsi ya Kutazama Mechi ya Morocco vs Tanzania

by Mr Uhakika
March 24, 2025
0

Utangulizi Mechi kati ya Morocco na Tanzania ni miongoni mwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia. Moja kati ya mechi za kusisimua, inatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wengi...

Load More
Next Post
pioneer

Mbegu za Mahindi Pioneer

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No Result
View All Result
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results

© 2025 Uhakika News