Join Us on WhatsApp
KARIBU UJIUNGE NASI WHATSAPP
Lyrics
Copy & Paste – Ibraah
Verse 1
Picha linaanza kama ndoto, najiona komondo nimezaliwaa
Nilichokundua duniani utotoo, nilipogundua mimi maiti mtarajiwaa
Dunia inatisha wakati unapambana na kusali kumbe kuna wanga wanakuombea ufeli,
Riziki ndo kisa wanakabana wananyonganaa waambie


