Klabu ya Rosenborg BK inavutiwa na inamfatilia huduma ya kiungo wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua (23)
PATA HABARI CHAP
🔴💎| UPDATE: JEAN CHARLES AHOUA
JE UNA MASWALI?- Klabu ya Rosenborg BK inavutiwa na inamfatilia huduma ya kiungo wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua (23) ili kupata saini yake dirisha kubwa la uhamisho
- Rosenborg BK kutoka nchini Norway, na ofa kubwa itatumwa baada ya msimu huu kumalizika na imevutiwa na huduma ya Jean Charles Ahoua katika michuano ya Shirikisho Afrika
- Mpaka sasa Jean Charles Ahoua anahusishwa kuhitajika na klabu za Rosenborg BK kutoka nchini Norway na Almeria SC kutoka nchini Spain.