JKT PDF JKT PDF! DOWNLOAD.

Angalia Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI – Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma (PSRS)). Kuitwa Kazini (Placement) UTUMISHI – Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma (PSRS) 2025.

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara huru kilichoanzishwa mahsusi kurahisisha mchakato wa ajira katika Utumishi wa Umma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa chini ya Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya 2007, kifungu cha 29(1).

Jukumu kuu la PSRS ni kurahisisha uajiri katika Utumishi wa Umma. Kulingana na Kifungu cha 298 cha Sheria ya Utumishi wa Umma ya 2002, kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya 2007 kifungu cha 29(1), majukumu ya PSRS ni: Kusaka wataalamu mbalimbali wenye ujuzi maalum na kuandaa hifadhidata ya wataalamu hao kwa urahisi wa uajiri; Kusajili wahitimu na wataalamu kwa madhumuni ya marejeo rahisi ya kujaza nafasi wazi; Kutangaza nafasi wazi zinazojitokeza kwenye Utumishi wa Umma; Kuwashirikisha wataalamu stahiki kwa madhumuni ya kufanya usaili; Kushauri waajiri juu ya masuala mbalimbali yanayohusiana na ajira; na Kufanya jambo lingine lolote linaloweza kuelekezwa na Waziri mwenye dhamana ya Utumishi wa Umma.

Chombo hiki kinawaalika watu kazini katika taasisi mbalimbali kama ifuatavyo:

Mei 2025 TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (05-05-2025) TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (03-05-2025)

Aprili 2025

April 2025

Jinsi ya Kukagua Kama Umechaguliwa Kuitwa Kazini?

Ili kujua kama umeitwa kazini na UTUMISHI, tembelea tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Wamechapisha orodha ya majina ya walioitwa, hivyo hakikisha umetembelea na kuthibitisha jina lako katika orodha hiyo.

Categorized in: