ORODHA YA KWANZA YA WANUFAIKA 2025/2026 YATANGAZWA

HESLB balaza la usimamizi wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa kiTanzania elimu ya juu, yaani stashahada na astashahada, leo limetoa majina ya wanafunzi hao waliopata asilimia za mikopo: majina haya yamegawanyika katika hawamu kadhaa.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba , 2024) imeanza kutangaza orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2025/2026. Awamu hii inajumuisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo ya Shahada ya awali, Shule ya Sheria kwa Vitendo na Shahada ya Uzamili.

Wanafunzi kupata taarifa kupitia SIPA

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Dkt. Bill Kiwia amesema wanafunzi wote walioomba mikopo kwa mwaka 2024/2025 wanaweza kupata taarifa za kina kuhusu mikopo yao kupitia akaunti walizotumia kuombea mikopo maarufu kama ‘SIPA’ – Student’s Individual Permanent Account.

“Leo tumeanza kutoa taarifa za mikopo kwa makundi yote, waliopangiwa mikopo, wapo ambao bado tunaendelea kufanyia kazi maombi yao … kila mwombaji anapata taarifa yake kwenye akaunti ile ile aliyotumia kuombea mkopo, huhitaji kufika ofisi za HESLB”, amesema Dkt. Kiwia na kuongeza kuwa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa stashahada na shahada ya Uzamivu unaendelea.

Hawamu mbalimbali za Wanafunzi waliopata mkopo:

HESLB allocation Batch 1 – wanafunzi waliopata mkopo awamu ya kwanza

PAKUA PDF

Jinsi ya kuangalia majina ya wanafunzi waliopata mikopo HESLB allocation kupitia link

  1. Mwanafunzi ingia kwenye account yako ya HESLB kupitia link; https://olas.heslb.go.tz/olams/account/login
  2. Ingiza jina na nywira yako kwaajili ya kuingia ndani ya akaunti.
  3. Nenda kwenye hali ya akaunti ako yani Application status
  4. Hapo kama umechagliwa utakuta maelezo na salamu za hongera.

HESLB allocation Batch 2 – wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili

PAKUA PDF