KUTOKA SINGIDA: Hii hapa sehemu ya kuchezea ‘pitch’ ya dimba jipya la Singida BS ambapo leo kutakuwa na mechi maalumu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC.
Hili hapa dimba jipya la Singida Black Stars liitwalo Airtel Stadium ambalo leo litazinduliwa rasmi.