Mitihani ya Kiswahili Darasa la 7 – Mkoa wa Tabora

Karibu katika mitihani ya mock ya Kiswahili kwa wanafunzi wa darasa la saba. Huu ni fursa nzuri ya kujipima kwa mtihani wa mwisho. Mitihani hii ina maswali mbalimbali yanayohusiana na matumizi ya lugha, fasihi, na dhana nyingine muhimu katika Kiswahili.

Pakua mitihani yako hapa: Download Mitihani ya Kiswahili

Tunawatakia kila la heri katika maandalizi yenu!

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *