Join Us on WhatsApp JIUNGE NASI WHATSAPP
Uhakika News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
AI News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
UK News
No Result
View All Result

Mpanzu yupo Simba Kwa mkopo

by Mr Uhakika
May 13, 2025
in Habari
Reading Time: 1 min read
A A
Share on FacebookShare on Twitter
Join Us on WhatsApp KARIBU UJIUNGE NASI WHATSAPP

Inasemekana uongozi wa simba unawasumbua sana Klabu ya As Vita Club kutaka kumsajili moja kwa moja Elie Mpanzu Klabu ya As Vita imesha wajibu mara kadhaa kwamba kijana huyo wameshafanya biashara yake mapema sana. Ila kinacho wachanganya Viongozi wa Simba awajui iyo biashara As Vita Club wameifanya na timu gani hapo ndipo wanachanganyikiwa Kiufupi tu Elie Mpanzu yuko kwa Mkopo wa miezi 6 pale msimbazii sasa na biashara ya kuuza Elie Mpanzu ishafanyikaKwaiyo kilicho baki hapo ni mwishoni mwa msimu huu Elie Mpanzu ataenda kujiunga na hiyo timu yake mpya, NB! Haijafahamika ameuzwa kwenda timu gani lakini uongozi wa Msimbazi unapambana kutaka kumsajili moja kwa moja, lakini As Vita club wamesema huyo siyo mchezaji wao tena.

You might also like

Mechi live: Young Africans vs Simba

Mechi ya simba vs berkane live leo

Share this:

  • Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
  • Click to share on X (Opens in new window) X

Related

Tags: michezoSimba SC
ShareTweetPin
JE UNA MASWALI? JIUNGE NASI WHATSAPP
Previous Post

Klabu ya Rosenborg BK inavutiwa na inamfatilia huduma ya kiungo wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua (23)

Next Post

MICHEZO: Klabu ya Real Madrid imetangaza rasmi kumsajili kocha Mhispania Xabi Alonso

Mr Uhakika

Mr Uhakika

Related Stories

Mechi live: Young Africans vs Simba

by Mr Uhakika
June 25, 2025
0

Kwa habari za hivi punde kuhusu matokeo ya mechi na matukio ya timu hizi, unaweza kutembelea tovuti za ScoreBat na Sofascore, ambazo hutoa matokeo ya moja kwa moja...

mechi ya simba na berkane live

Mechi ya simba vs berkane live leo

by Mr Uhakika
May 25, 2025
0

Leo, Jumapili, Mei 25, 2025, Simba SC inakutana na RS Berkane katika mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF. Mechi hii itachezwa kwenye Uwanja...

Steven Mukwala Profile

Steven Mukwala Profile

by Mr Uhakika
May 13, 2025
0

Profile ya Steven Mukwala KipengeleMaelezoJina KamiliSteven Dese MukwalaTarehe ya KuzaliwaJulai 15, 1999 (miaka 25)Mahali alipozaliwaMakindye, UgandaUraiaUgandaUrefu1.76 mNafasi UwanjaniCentre-Forward (Straika wa kati)Klabu ya SasaSimba SC (Tanzania)Namba ya Jezi11Alipojiunga na...

FADLU DAVIDS TRANSFER UPDATE🔴

FADLU DAVIDS TRANSFER UPDATE🔴

by Mr Uhakika
May 13, 2025
0

Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amekataa ofa kutoka Orlando Pirates kuelekea msimu ujao Fadlu amekataa kurudi tena Orlando Pirates na anafurahia kazi anayoifanya Simba SC Orlando...

Load More
Next Post
MICHEZO: Klabu ya Real Madrid imetangaza rasmi kumsajili kocha Mhispania Xabi Alonso

MICHEZO: Klabu ya Real Madrid imetangaza rasmi kumsajili kocha Mhispania Xabi Alonso

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No Result
View All Result
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results

© 2025 Uhakika News