top scorer nbc premier league 2024/25

Orodha ya wafungaji bora katika NBC Premier League (ligi kuu bara) 2024/25

Advertisements
PATA HABARI CHAP JIUNGE NASI WHATSAPP
Advertisements
JE UNA MASWALI? JIUNGE NASI WHATSAPP

Ifuatayo ni orodha ya Vinara/wafungaji bora katika NBC Premier League kwa msimu wa 2024/25. Jean Ahoua anaongoza akiwa na mabao 12, akifuatiwa na Clement Mzize na Prince Dube, wote wakiwa na mabao 10. Steven Mukwala na Elvis Rupia wana mabao 9, wakati Peter Lwasa na Leonel Ateba wanayo mabao 8 kila mmoja.

PlayerTeamGoals
Jean AhouaSimba12
Clement MzizeYanga10
Prince DubeYanga10
Steven MukwalaSimba9
Elvis RupiaSingida bs9
Peter Lwasa8
Leonel AtebaSimba8
Advertisements
Join Us on WhatsApp JIUNGE NASI WHATSAPP