Blog

  • Jina la shule: St. Paul Primary School

    Namba ya shule:

    Aina ya shule:Binafsi

    Mkoa ilipo shule;Shinyanga

    WIlaya iliyopo:kahama

    Kata ilipo shule:Nyasubi

  • Sunset Primary School

    Jina la shule: Sunset Primary School

    Namba ya shule:- P1701080

    Aina ya shule:Binafsi

    Mkoa ilipo shule; Shinyanga

    WIlaya iliyopo:Kahama MC

    Kata ilipo shule:Nyasubi

  • Ummahati Islamiya Primary School

    Jina la shule: Ummahati Islamiya Primary School

    Namba ya shule: PS1701096

    Aina ya shule: Binafsi

    Mkoa ilipo shule; Shinyanga

    WIlaya iliyopo: Kahama MC

    Kata ilipo shule:Nyihogo

  • Awamu ya kwanza Majina ya Wanafunzia walipata mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240

    426.5 BILIONI ZATOLEWA KWA WANAFUNZI 135,240

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Oktoba 24,2025 imetoa awamu ya kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatato:

    i.      Wanafunzi 40,952 wa shahada ya awali na wanafunzi 5,342 wa stashahada waliopangiwa mikopo kiasi cha TZS. 152 bilioni.

    ii.     Wanafunzi 615 wa Samia Skolashipu waliopangiwa ruzuku kiasi cha TZS. 3.3 bilioni.

    iii.     Wanafunzi 88,331 wanaoendelea na masomo wamepangiwa mkopo kiasi cha TZS. 271.2 bilioni baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka uliotangulia.

    Bodi ya Mikopo itaendelea kutoa awamu zingine za mikopo na skolashipu kadiri itakavyopokea uthibitisho wa udahili kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza na matokeo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo. 

    Aidha, Bodi ya Mikopo inawakumbusha waombaji wa mikopo na ruzuku kuendelea kufuatilia taarifa za maombi yao kupitia ‘SIPA’ wakati taratibu za uchambuzi na upangaji wa mikopo na ruzuku zikiendelea.

    TAZAMA MAJINA HAPA

    Imetolewa na:

    Mkurugenzi Mtendaji
    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
    Ijumaa, Oktoba 24, 2025

  • Matokeo ya Darasa la Saba Zanzibar 2025: Mwongozo wa Kuangalia na Orodha ya Shule

    Utangulizi

    Matokeo ya darasa la saba ni moja ya matukio muhimu katika mfumo wa elimu wa Zanzibar. Hili ni kipindi ambapo wanafunzi wanakuwa na nafasi ya kuthibitisha maarifa waliyoyapata katika miaka yao yote ya masomo. Katika mwaka wa 2025, Baraza la Mitihani la Zanzibar litatoa matokeo haya, na kila mwanafunzi, mzazi, na mdau wa elimu anatarajia kupata taarifa za matokeo haya kwa njia inayorahisisha. Katika makala hii, tutajadili jinsi ya kuangalia matokeo ya darasa la saba pamoja na orodha kamili ya shule zinazoongoza Zanzibar.

    Jinsi ya Kuangalia Matokeo

    1. Mtandaoni: Baraza la Mitihani la Zanzibar litatoa matokeo kwa njia ya mtandao. Wanafunzi watahitajika kutembelea tovuti rasmi ya Baraza la Mitihani www.zntec.ac.tz ambapo wataweza kuangalia matokeo yao kwa kuingiza namba zao za usajili. Hili litawawezesha kupata matokeo yao haraka na kwa urahisi, bila ya kuhangaika na foleni au vituo vya kupokea matokeo.
    2. Kwenye Shule: Vilevile, wanafunzi wanaweza kutembelea shule zao ili kuangalia matokeo. Shule nyingi hutangaza matokeo haya kwenye mabango au kwenye ofisi zao. Hii ni fursa nzuri kwa wanafunzi ambao wanashindwa kuangalia mtandaoni.
    3. Kwenye Redio na Televisheni: Wakati matokeo yanapoachiliwa, vituo vya redio na televisheni vya Zanzibar mara nyingi hutangaza matokeo ya shule mbalimbali, hasa shule zinazofanya vizuri. Hii ni njia nzuri ya kupata taarifa kuhusu shule ambazo zinajulikana kwa ubora.

    Orodha ya Shule za Darasa la Saba Zanzibar

    Orodha ya shule mbalimbali za Zanzibar iliyopewa nambari za usajili inaweza kuwa na taharuki kwa wale wanaomhitaji mtoto wao sehemu bora ya masomo. Hapa kuna orodha ya shule maarufu na zinazofanya vizuri:

    • ZP0415 — Abdalla Bin Sultan School
    • ZP0424 — ACME
    • ZP0412 — Al-Aqsa Islamic School
    • ZP0322 — Al-Falah Muslim School
    • ZP0198 — Al-Halil School
    • ZP0610 — Al-Haramain Integrated School
    • ZP0297 — Al-Haramyn Integrated School
    • ZP0482 — Al-Hudaa Muslim School
    • ZP0588 — Al-Ibdaa Islamic School
    • ZP0409 — Al-Ikhlaas Islamic School
    • ZP0347 — Al-Ikhwan Nursery and Primary School
    • ZP0383 — Al-Iswlaah Primary School
    • ZP0448 — Al-Khairat Madrasat Islamiya
    • ZP0604 — Al-Madrasat Nasrudin
    • ZP0298 — Al-Marfaa Islamic School
    • ZP0502 — Al-Miftaah
    • … (na nyingi nyinginezo)

    Mambo Muhimu ya Kuangalia

    1. Ufaulu wa Wanafunzi: Ni muhimu kufuatilia matokeo ya wanafunzi binafsi katika shule husika ili kuweza kujua jinsi shule inavyofanya katika masomo tofauti. Hii itawasaidia wazazi na wanafunzi kuchagua shule bora kwa ajili ya elimu yao ya juu.
    2. Mafunzo ya Walimu: Shule zinazotoa mafunzo mazuri na walimu wenye uzoefu mara nyingi huleta matokeo bora. Inashauriwa kuchunguza kiwango cha ujuzi wa walimu katika shule unayotaka kujiandikisha.
    3. Rasilimali za Shule: Sehemu yenye rasilimali nzuri kama maktaba, maabara, na vifaa vingine vya masomo ni muhimu katika kuboresha uelewa wa mwanafunzi na matokeo yake.
    4. Ushirikiano wa Wazazi: Shule ambazo zinawashirikisha wazazi katika masuala ya elimu ya watoto wao huwa na mafanikio makubwa. Ushirikiano huu unapanua mtazamo na mazingira ya kujifunzia.

    Hitimisho

    Matukio ya matokeo ya darasa la saba ni muhimu katika mfumo wa elimu wa Zanzibar. Nguvu ya elimu inategemea matokeo haya, na hivyo ni muhimu kwa wazazi na wanafunzi kujitahidi kufikia malengo yao. Kupitia mtandao, shule, na vyombo vya habari, kuna njia nyingi za kuangalia matokeo haya. Kadhalika, kujua orodha ya shule na viwango vyao ni hatua muhimu katika kuhamasisha wanafunzi kuelekea mafanikio makubwa. Tunawatakia kila la kheri wanafunzi wote katika matokeo yao ya mwaka 2025.

  • AJIRA 235 WALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH)

    MDAs & LGAs

    235 Positions

    Application Period

    18/10/2025 – 01/11/2025

    Duties and Responsibilities

    i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

    ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

    iii.Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

    iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

    v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

    vi.Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

    vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;

    viii.Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule;

    Qualifications

    Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Kiingereza au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Kiingereza  pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika na Serikali. 

    Remuneration

    TGTS- D

  • AJIRA 459 MWALIMU DARAJA LA III B (BAIOLOJIA)

    MDAs & LGAs

    459 Positions

    Application Period

    18/10/2025 – 01/11/2025

    Duties and Responsibilities

    1. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
    2. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
    3. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
    4. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
    5. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
    6. Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
    7. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;
    8. Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule

    Qualifications

    Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Baiolojia kutoka  Vyuo vya Ualimu vinavyotambulka na Serikali.  

    Remuneration

    TGTS-C

  • AJIRA 219 MSAIDIZI AFYA YA MAZINGIRA II (ENVIROMENTAL HEALTH ASSISTANT II)

    MDAs & LGAs

    219 Positions

    Application Period

    18/10/2025 – 01/11/2025

    Duties and Responsibilities

    i.Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa;

    ii.Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa;

    iii.Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza;

    iv.Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika;

    v.Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili;

    vi.Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii;

    vii.Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii;

    viii.Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo;

    ix.Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira;

    x.Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata; na

    xi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

    Qualifications

    Kuajiriwa wenye Astashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

    Remuneration

    TGHS A

  • AJIRA 1000 WALIMU DARAJA LA III B – SHULE YA MSINGI

    MDAs & LGAs

    1000 Positions

    Application Period

    18/10/2025 – 01/11/2025

    Duties and Responsibilities

    i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

    ii. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

    iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za  Maendeleo ya Wanafunzi;

    iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

    v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa  ushauri nasaha na unasihi;

    vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

    vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

    viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

    Qualifications

    Kuajiriwa wenye Stashahada ya Elimu ya Msingi (Diploma in Primary Education) au Stashahada ya Elimu ya Sekondari (Diploma in Secondary Education/Diploma in Education) yenye masomo ya kufundishia ya Sanaa (Art Subjects) kutoka  Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali. 

    Remuneration

    TGTS- C.

  • AJIRA 1218 WALIMU DARAJA LA IIIC (BAIOLOJIA)

    MDAs & LGAs

    1218 Positions

    Application Period

    18/10/2025 – 01/11/2025

    Duties and Responsibilities

    i.         Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

    ii.        Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

    iii.       Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

    iv.      Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

    v.        Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

    vi.      Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

    vii.     Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;

    viii.    Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule

    Qualifications

    ·       Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Baiolojia au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Baiolojia pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

    Remuneration

    TGTS- D