Tabora Girls Secondary School
Shule ya Sekondari ya Wasichana Tabora ipo kusini mwa kituo cha mabasi cha Tabora na stesheni ya reli, umbali wa km.3 toka stesheni ya reli na km.4 toka kituo cha mabasi Tabora Mjini kuelekea Kipalapala. Shule Imepakana na Sekondari ya Wavulana Tabora.
Kutoka stesheni au Kituo cha Mabasi mjini unaweza kukodi ‘taxi’ kuja shuleni nauli ni sh.5,000/-,Aidha zipo Pikipiki (Bodaboda) nauli ni Sh. 1,500/-, pia yapo mabasi madogo (daladala) kwa saa za mchana na kituo cha kuteremkia ni MADAFU. Kutoka hapo utatembea kwa mguu mwendo mfupi kufika shuleni aidha tunakutaarifu kuepuka kufika usiku!
Anwani ya Simu “MKUU WA SHULE”.
Simu nambari: +25526 2605404 /0766598393 SANDUKU LA POSTA 152,
Nukushi nambari: +25526 2605404 TABORA.
Hapa ni maelezo yaliyosasishwa kuhusu Shule ya Sekondari P0220 Tabora Girls:
Jina la Shule: P0220 Tabora Girls
JE UNA MASWALI?Namba ya Usajili wa Shule: Aina ya Shule: Sekondari Mkoa: Tabora Wilaya:
Michepuo (Combinations) ya Shule Hii
- [Orodha ya Combination zinazopatikana]
Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2024/2025
Bofya Hapa kuangalia orodha ya wanafunzi waliopangwa kuja shule hii.
Kidato cha Tano Joining Instructions 2025
Pata Maelezo kuhusu fomu za kujiunga na shule hii. Ili kupata fomu ya kujiunga kupitia WhatsApp, jiunge na link hii.
NECTA: Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025
Pakua Matokeo ya ACSEE 2024. Matokeo ya kidato cha nne Tabora Girls Kupata matokeo kupitia WhatsApp, jiunge na link hii.
Join Us on WhatsApp