Dodoma Secondary School
Shule ipo karibu kabisa na kituo cha mabasi yaendayo mikoani. Kutoka kituoni kuingia katika eneo la shule ukiwa na mizigo au wakati wa usiku unaweza ukachukua taxi kwa gharama iliyozoeleka isiyozidi elfu tatu, kinyume chake unaweza ukatembea kwa miguu taratibu kwa mwendo wa takribani dakika tano utakuwa umeingia katika eneo la shule.
Unapotoka nje ya kituo cha mabasi kuingia kwenye mviringo (keepleft) inayoingia kituoni hapo majengo ya shule yenye rangi ya hudhurungi yanaonekana mkono wako wa kulia kama unaposhika barabara ya morogoro- Dar au kuelekea majengo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Namba ya Usajili wa Shule: P0306
- Aina ya Shule: Sekondari
- Mkoa: Dodoma
- Wilaya:
Michepuo (Combinations) ya Shule Hii:
- Orodha ya michepuo; PCM, EGM, PCB, CBG, HGK, HGL PMCs, KFFi, KLiFi, BNS
Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2024/2025
Kuona orodha ya wanafunzi waliopangwa kwenda shule hii, tafadhali: Bofya Hapa
Kidato cha Tano Joining Instructions 2025
Fomu za kujiunga zinapatikana na zinaelekeza juu ya taratibu muhimu za kufuata. Hakikisha unazipitia kwa makini.
[Weka Button ya Joining Instructions]
Kupata fomu ya kujiunga kupitia WhatsApp, jiunge na link hii.
JE UNA MASWALI?NECTA: Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025
Ili kuona matokeo ya Kidato cha Sita – ACSEE 2024: Pakua Matokeo
Kupata matokeo kupitia WhatsApp, jiunge na link hii.
Mawasiliano ya Shule
Shule ya Sekondari Dodoma
S.L.P. 32 DODOMA
Mkuu wa shule 0714-696814
Makamu 0786762000
Simu Na:0262321163
Matron.0767-036898
Email: dodomaseko@yahoo.com
Join Us on WhatsApp