Leo, Machi 27, 2025, viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), pamoja na klabu za Simba na Yanga, wanakutana katika ofisi za…
➡️Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania , Profesa Palamagamba Kabudi anatarajiwa kukutana na viongozi wa Simba Sports Club na Young Africans kuzungumzia sakata la uamuzi wa Simba…