Join Us on WhatsApp JIUNGE NASI WHATSAPP
Uhakika News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
AI News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
UK News
No Result
View All Result
UJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT

UJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT: Kusoma maelekezo ya kujiunga na jkt pdf

by Mr Uhakika
May 27, 2025
in JKT selection
Reading Time: 3 mins read
A A
Share on FacebookShare on Twitter
Table of contents
  1. Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa
  2. You might also like
  3. Tarehe ya kuripoti jkt 2025
  4. Majina ya Waliochaguliwa JKT 2025
  5. Vijana wa Mujibu wa Sheria:
  6. Masharti ya kijana wa kujitolea kwa ajili ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa.
  7. UJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT.
  8. Share this:
  9. Related
Join Us on WhatsApp KARIBU UJIUNGE NASI WHATSAPP

TAZAMA MAJINA

Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa

Jeshi la kujenga Taifa(JKT) limekuwa linapokea na kuendesha Mafunzo yahusuyo Ulinzi wa Taifa, uzalendo, Ujasiliamali, Ujasili (kupitia mafunzo ya Kilimo, Ufugaji na Biashara) kwa nyakati tofauti tofauti kadri ya maelekezo kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

You might also like

Tarehe ya kuripoti jkt 2025

Majina ya Waliochaguliwa JKT 2025

Vijana wa JKT wamegawanyika katika makundi mawili nayo ni;

1. Vijana wa Kujitolea na

2. Vijana wa Mujibu wa Sheria.

Vijana wa Kujitolea: 

Hawa ni vijana wa JKT ambao wanajiunga na JKT kwa Mkataba wa kujitolea kwa kipindi kisichopungua miaka miwili (2). Mara baada ya kuandikishwa vijana hao huwa wanapelekwa kwenye kambi mbalimbali za JKT kwa ajili ya Malezi na Mafunzo mbalimbali.

Vijana wa Mujibu wa Sheria:

Hawa ni wale vijana wanaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. Kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wanatumikia JKT kwa kipindi kisichopungua miezi (3). kwa sasa vijana wa Mujibu wa sheria ni wale wanafunzi waliomaliza kidato cha sita (form six) kutoka mashule mbalimbali ya Tanzania Bara. 

Masharti ya kijana wa kujitolea kwa ajili ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa.

1.Awe raia wa Tanzania

2.Awe na Umri kati ya miaka 18-23

3.Awe amemaliza darasa la saba na kuendelea

4.Asiwe ameoa au kuolewa na asiwe na mtu yeyote anayemtegemea

5.Awe tayari kufuata sheria zote za kijeshi zitazokuwa juu yake wakati akiwa jeshini(kutoroka,wizi,ulevi,uvutaji bangi, madawa ya kulevya na upatikanaji wa mimba n.k) Jeshini ni makosa makubwa na utaweza kushtakiwa na kufutiwa mkataba na JKT

6.Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa

7.Awe na tabia na mwenendo mzuri

Masharti ya kijana wa mujibu wa sheria kwa ajili ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa.

1.Awe raia wa Tanzania

2.Awe na Umri kati ya miaka 18-35

3.Awe amemaliza kidato cha sita na kuendelea

4.Awe tayari kufuata sheria zote za kijeshi zitazokuwa juu yake wakati akiwa jeshini(Uvutaji bang, madawa ya kulevya na upatikanaji wa mimba atashitakiwa na kufutiwa mkataba na JKT

5.Utoro haukubaliki na kosa la utoro mkataba utasogezwa mbele

6.Awe na tabia na mwenendo mzuri

UJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT.

JKT huandikisha vijana wa kujitolea kutoka mikoa yote ya hapa nchini kila mwaka. Utaratibu unaotumika ni kwa JKT kuandika barua kwa wakuu wa Mikoa na kuanisha nafasi ambazo mkoa umetengewa.

Baada ya Mkoa kupata barua kutoka kwa Mkuu wa JKT na idadi ya nafasi za vijana waliopangiwa kujiunga. Mkoa hugawa nafasi hizo kulingana na wilaya zake. Pia wilaya zinatakiwa kupeleka katika tarafa, kata na vijiji. Mara nyingi uongozi wa wilaya hubandika tangazo la nafasi hizo katika ubao wao wa matangazo. JKT hutangaza nafasi za kujiunga na jeshi hilo kupitia vyombo vya habari vya Serikali na biafsi kwa nia ya kuharakisha taarifa kuwa. kia wananchi hasa vijana. Usaili wa awali hufanyika chini ya Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya wanakotoka vijana hao, baadaye hufanyika mkoani, ili kupata idadi ya vijana wa mkoa mzima.

Zoezi hilo linapokamilika mikoani, JKT hutuma timu za maafisa na askari kutoka Makao Makuu ya JKT kwa ajili ya kuhakiki vijana waliosailiwa katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Vijana hupimwa afya zao na kusafirishwa katika vikosi vya JKT.

Share this:

  • Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
  • Click to share on X (Opens in new window) X

Related

Tags: JKT selectionUJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT
ShareTweetPin
JE UNA MASWALI? JIUNGE NASI WHATSAPP
Previous Post

Mbegu za Mahindi Pioneer

Next Post

Vifaa vya kwenda navyo jkt 2025 – Mahitaji ya JKT

Mr Uhakika

Mr Uhakika

Related Stories

Form six jkt selection

Tarehe ya kuripoti jkt 2025

by Mr Uhakika
May 28, 2025
0

Kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2024, vijana waliohitimu Kidato cha Sita walitakiwa kuripoti kwenye makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuanzia tarehe 1 Juni hadi 7...

Form six jkt selection

Majina ya Waliochaguliwa JKT 2025

by Mr Uhakika
May 27, 2025
0

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limekuwa likitoa mafunzo kwa vijana wa Kitanzania kwa lengo la kuwajengea uzalendo, ukakamavu, na stadi za maisha. Kwa mwaka 2025, JKT imetangaza majina...

UJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT

Milundikwa JKT selection 2025

by Mr Uhakika
June 8, 2025
0

Katika taarifa hii, majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mwaka 2025 yametolewa. Programu hii inawalenga wanafunzi waliohitimu kidato cha sita, na kuwaandaa...

UJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT

Muhtasari wa Kujiunga na Kambi ya MGAMBO JKT 2025

by Mr Uhakika
May 23, 2025
0

Programu hii imewalenga wanafunzi waliohitimu kidato cha sita kwa maandalizi kabla ya kujiunga na vyuo vikuu. Mambo ya Kuzingatia: Maelekezo ya Kujiunga: Soma maelekezo kwa umakini kupitia viungo...

Load More
Next Post
UJUE UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JKT

Vifaa vya kwenda navyo jkt 2025 - Mahitaji ya JKT

Comments 3

  1. Pingback: Waliochaguliwa Kujiunga na Kambi ya Kibiti JKT – 2025 - AJIRA MICHEZO UPDATES
  2. Pingback: Waliochaguliwa Kujiunga na Kambi ya Bulombora JKT – 2025 - AJIRA MICHEZO UPDATES
  3. Pingback: Waliochaguliwa Kujiunga na Kambi ya NACHINGWEA JKT – 2025 - AJIRA MICHEZO UPDATES

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No Result
View All Result
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results

© 2025 Uhakika News