AJIRA BINAFSI, AJIRA ZA SERIKALI
bukoba, dar es salaam, Dodoma, Kagera, Kigoma, Lindi, Mbeya, Mwanza, Singida, Tabora, Tanga, TANZANIA
Posted 4 weeks ago

HUISHA TAARIFA ZA MAHALI ULIPO KWENYE AKAUNTI YAKO YA AJIRA PORTAL ILI KUPANGIWA KITUO CHA USAILI KARIBU YAKO

Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 24 hadi 30 Mei 2025, mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu na eneo ulipo.

Apply For This Job