NAFASI 1883 MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS)

MDAs & LGAs

1883 Positions

Application Period

18/10/2025 – 01/11/2025

Duties and Responsibilities

i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii.Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi.Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; na

viii.Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule

Qualifications

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Hisabati au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Hisabati pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika na Serikali. 

Remuneration

TGTS- D

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *