AJIRA 459 MWALIMU DARAJA LA III B (BAIOLOJIA)

MDAs & LGAs

459 Positions

Application Period

18/10/2025 – 01/11/2025

Duties and Responsibilities

  1. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
  2. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;
  3. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
  4. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
  5. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
  6. Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
  7. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;
  8. Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule

Qualifications

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Baiolojia kutoka  Vyuo vya Ualimu vinavyotambulka na Serikali.  

Remuneration

TGTS-C

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *