Mwanafunzi/Mwombaji wa mkopo hajaridhika na kiwango cha mkopo alichopatiwa au hajapangiwa mkopo anatakiwa kufanya nini?
PATA HABARI CHAP
- Fursa ya kukata rufaa hutolewa baada ya kukamilisha zoezi la kupanga mikopo
- Ikitokea mwombaji akakosa kwenye rufaa, atapata fursa ya kuomba tena kwa mwaka unaofatia