Msimamizi wa idara ya Habari wa Klabu ya Azam Fc Thabit Zacharia maarufu kama (@zakazakazi ), amesema wako tayari kusikiliza ofa kwa mchezaji wao Feisal Salum ambaye mkataba wake unatamatika…
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum anaendelea kuwa kinara wa kutoa pasi za mwisho (assists) katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, ambapo ametoa assist 12 hadi sasa