michezo
Pyramids FC Fiston Mayele ya kutocheza mechi moja
Bodi ya Ligi Kuu nchini Misri imempiga adhabu mshambuliaji wa klabu ya Pyramids FC Fiston Mayele ya kutocheza mechi moja na kulipa faini ya Paundi elfu tano za Misri. Mchezaji…
Klabu ya Wydad ya nchini Morocco imewataarifu klabu ya Yanga SC
TETESI ZA USAJILI 🚨 Klabu ya Wydad ya nchini Morocco imewataarifu klabu ya Yanga SC🔰 ambayo inammiliki Mchezaji CLEMENT MZIZE kwamba endapo itakubali OFA yao ya kumnunua Mzize kwa $500,000…
MICHEZO: Klabu ya Real Madrid imetangaza rasmi kumsajili kocha Mhispania Xabi Alonso
MICHEZO: Klabu ya Real Madrid imetangaza rasmi kumsajili kocha Mhispania Xabi Alonso kwa mkataba wa miaka mitatu, kuanzia Juni 1, 2025, kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti ambaye anatarajiwa kuagwa rasmi…
Mpanzu yupo Simba Kwa mkopo
Inasemekana uongozi wa simba unawasumbua sana Klabu ya As Vita Club kutaka kumsajili moja kwa moja Elie Mpanzu Klabu ya As Vita imesha wajibu mara kadhaa kwamba kijana huyo wameshafanya…
Klabu ya Rosenborg BK inavutiwa na inamfatilia huduma ya kiungo wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua (23)
🔴💎| UPDATE: JEAN CHARLES AHOUA
Ousmane Dembélé akifanikiwa kutwaa UEFA basi atapita na Ballon d’Or
Ameandika mchambuzi wa soka HANS RAPHAEL Binafsi nadhani Ousmane Dembélé akifanikiwa kutwaaUEFA basi atapita na Ballon d’Or.Msimu huu tayari Dembele ana ubingwa wa League 1,timu yake iko fainali kwenye Coupe…
Kanuni za Ligi Kuu NBC 2024/2025 – Sheria za mpira wa miguu
Utangulizi Kanuni hizi za Ligi Kuu ni mwongozo wa uendeshaji na uchezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Klabu zinazoshiriki katika Ligi Kuu zinawajibika na kulazimika kufuata, kuheshimu, na kutii kanuni…
🚨SERIKALI KUINGILIA KATI MECHI YA DABI
➡️Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania , Profesa Palamagamba Kabudi anatarajiwa kukutana na viongozi wa Simba Sports Club na Young Africans kuzungumzia sakata la uamuzi wa Simba…
Wafungaji wa Ligi Kuu NBC 2024/25: Nyota Zinazong’ara
wafungaji nbc 2024/25 – top scorer nbc premier league 2024/25 Kwa msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu NBC, wachezaji ambao wana uwezo wa kufunga mabao ni kipande muhimu katika mafanikio…