Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum anaendelea kuwa kinara wa kutoa pasi za mwisho (assists) katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, ambapo ametoa assist 12 hadi sasa
Hosea mchopa amezungumza na kocha wa Tabora United Anicet Kiazayidi Makiadi @kiazmak ambaye yupo kwenye kozi ya refresh Congo baada ya taarifa za uvumi kuwa amevunjiwa mkataba na timu ya…