AJIRA 1218 WALIMU DARAJA LA IIIC (BAIOLOJIA)

MDAs & LGAs

1218 Positions

Application Period

18/10/2025 – 01/11/2025

Duties and Responsibilities

i.         Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii.        Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii.       Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

iv.      Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v.        Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi.      Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii.     Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule;

viii.    Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule

Qualifications

·       Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Baiolojia au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Baiolojia pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu  ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

Remuneration

TGTS- D

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *