Join Us on WhatsApp JIUNGE NASI WHATSAPP
Uhakika News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
AI News
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results
No Result
View All Result
UK News
No Result
View All Result

HESLB: Jinsi ya kuomba Mkopo wa Stashahada – DIPLOMA

by Mr Uhakika
March 28, 2025
in HESLB
Reading Time: 4 mins read
A A
Share on FacebookShare on Twitter
Table of contents
  1. Maelekezo Muhimu kwa Wanafunzi Wote Wanaomba Mikopo DIPLOMA
    1. You might also like
    2. Awamu ya kwanza Majina ya Wanafunzia walipata mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240
    3. Orodha ya Majina Ya Waliopata Mkopo HESLB Batch 1, 2 & 3 – Pakua PDF 2025/26
  2. Kufunguliwa Dirisha la Maombi Awamu ya Pili
  3. Sifa Stahiki
  4. Upangaji wa Mikopo
  5. Nyaraka za Kuambatisha
    1. Share this:
    2. Related
Join Us on WhatsApp KARIBU UJIUNGE NASI WHATSAPP

Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada Toleo la Pili 2025 Unapatikana www.moe.go.tz www.heslb.go.tz

Maelekezo Muhimu kwa Wanafunzi Wote Wanaomba Mikopo DIPLOMA

Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada kwa mwaka wa masomo 2025/2026 wanafahamishwa kuzingatia mambo yafuatayo:

You might also like

Awamu ya kwanza Majina ya Wanafunzia walipata mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240

Orodha ya Majina Ya Waliopata Mkopo HESLB Batch 1, 2 & 3 – Pakua PDF 2025/26

  • Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo wa mwaka wa masomo 2025/2026.
  • Kuhakikisha kuwa namba ya mtihani wa kidato cha nne atakayoitumia mwombaji iwe sawa na aliyoombea udahili wa chuo.
  • Kuhakikisha kuwa fomu ya maombi ya mkopo na mkataba zimesainiwa na viongozi wa serikali ya mtaa, mdhamini na kamishna wa viapo.
  • Waombaji wajaze fomu zao kwa ukamilifu na kuzisaini kabla ya kuziwasilisha HESLB kwa njia ya mtandao.
  • Kuhakikisha kwamba vyeti vya kuzaliwa/vifo vimethibitishwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) au Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar (ZCSRA) au Afisa aliyeteuliwa.
  • Kwa mwombaji mwenye akaunti ya benki ajaze taarifa zake kwa usahihi kwenye fomu ya maombi ya mkopo.
  • Kwa mwombaji mwenye Namba ya simu na kitambulisho cha taifa (NIDA) ahakikishe anajaza namba hizo wakati wa kuomba mkopo.
  • Waombaji wote wanakumbushwa kuzingatia muda wa mwisho wa kutuma maombi kwa njia ya mtandao.
Vigezo vya Kupata Mkopo Ngazi ya Diploma 2025/2026 kutoka HESLB

Kufunguliwa Dirisha la Maombi Awamu ya Pili

Kwa wanafunzi wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada kwa awamu ya pili, dirisha la maombi ya mkopo kwa mwaka wa masomo 2025/2026 limefunguliwa kwa siku 14 kuanzia tarehe 21 Disemba, 2025 hadi tarehe 04 Januari, 2026.

Sifa Stahiki

Vigezo vya msingi vya mwombaji mkopo ni pamoja na:

  • Awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 27.
  • Awe amedahiliwa katika taasisi ya elimu inayotoa elimu ya ngazi ya kati nchini.
  • Awe amekamilisha na kuwasilisha maombi ya mkopo kupitia mfumo wa OLAMS.
  • Asiwe na ajira inayompatia mshahara.
  • Awe amehitimu elimu kati ya mwaka 2019 hadi 2024.

Upangaji wa Mikopo

Upangaji wa mikopo utazingatia vipaumbele vya kitaifa, ufaulu wa kitaaluma, na hali ya kijamii.

Nyaraka za Kuambatisha

Pamoja na nyaraka nyingine, waombaji wanapaswa kuambatisha:

  • Cheti cha kuzaliwa kutoka RITA au ZCSRA.
  • Vyeti vya vifo kuthibitisha uyatima.

11.0 Ada ya Maombi ya Mkopo

Ada ya maombi ni shilingi elfu thelathini (30,000.00).

13.0 Maulizo na Malalamiko

Kwa maswali au malalamiko, waombaji wanapaswa kuwasiliana kupitia dawati la msaada la HESLB.

ifanyeje iwapo nimesahau neno langu la siri (Password)?

Jibu:   Utapaswa kubofya kiunganishi cha “Forgotten the Password?” na kisha utapata neno jipya la siri hapo hapo (kwenye screen) mtandaoni.

Je, ni wapi nitahakiki cheti za kuzaliwa au kifo cha mzazi?

Jibu:  Vyeti vya kuzaliwa na vya vifo vya wazazi lazima vihakikiwe na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kabla havijapakiwa (uploaded) kwenye mtandao (olams)

Mkopo_wa_Stashahada_-_Toleo_la_piliDownload
Maombi ya mkopo HESLB OLAMS – Online Loan Application 2025/26 – HESLB online application

Share this:

  • Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
  • Click to share on X (Opens in new window) X

Related

Tags: HESLBRITA
ShareTweetPin
JE UNA MASWALI? JIUNGE NASI WHATSAPP
Previous Post

Hatua Kamili za Kilimo cha (Migomba) Ndizi

Next Post

Mwisho Wa Kutuma Maombi Ya Mkopo HESLB 2025/2026

Mr Uhakika

Mr Uhakika

Related Stories

Maombi ya mkopo HESLB OLAMS – Online Loan Application 2025/26 – HESLB online application

Awamu ya kwanza Majina ya Wanafunzia walipata mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240

by Mr Uhakika
October 24, 2025
0

426.5 BILIONI ZATOLEWA KWA WANAFUNZI 135,240 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Oktoba 24,2025 imetoa awamu ya kwanza ya upangaji mikopo na...

Maombi ya mkopo HESLB OLAMS – Online Loan Application 2025/26 – HESLB online application

Orodha ya Majina Ya Waliopata Mkopo HESLB Batch 1, 2 & 3 – Pakua PDF 2025/26

by Mr Uhakika
October 15, 2025
0

Unatafuta majina ya waliopata mkopo wa HESLB kwa mwaka wa 2025/26? Usihangaike tena! Tumekusanya orodha kamili itakayopatikana kwa urahisi na awamu katika fomati ya PDF. Usipoteze muda kutafuta...

Maombi ya mkopo HESLB OLAMS – Online Loan Application 2025/26 – HESLB online application

HESLB Majina ya Waliopata Mkopo 2025 – Mikopo ya Wanafunzi wa Stashahada kwa Wanufaika

by Mr Uhakika
October 14, 2025
0

Katika mwaka wa 2025, wanafunzi wengi wa stashahada wamepata mkopo kutoka katika shirika la elimu ya juu nchini. Huu ni wakati wa furaha na matumaini kwa wanufaika hawa,...

Maombi ya mkopo HESLB OLAMS – Online Loan Application 2025/26 – HESLB online application

Jinsi Ya kurekebisha Makosa ya kuomba mkopo HESLB

by Mr Uhakika
June 23, 2025
0

Makosa ya kujaza au kuomba mkopo HESLB (Higher Education Students' Loans Board) ni kawaida kutokea na wanafunzi wengi hukumbana nayo. Hapa chini ni mwongozo wa jinsi ya kurekebisha...

Load More
Next Post
Maombi ya mkopo HESLB OLAMS – Online Loan Application 2025/26 – HESLB online application

Mwisho Wa Kutuma Maombi Ya Mkopo HESLB 2025/2026

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No Result
View All Result
  • Home
  • MICHEZO
    • Mikeka ya leo
  • AJIRA KAZI
  • NYIMBO MPYA YA
  • ELIMU
    • JKT selection
    • Form One Selections
    • form five selections
    • NECTA Form Six Results
    • NECTA Standard Seven Results

© 2025 Uhakika News